Pichani juu ni mrembo Fantasia akiwa kalipuka safi sana kuanzia style yake ya nywele,gauni la silk blue kali na cheni ndefu shingoni na bila kusahau chini akiwa amekandamiza na boots simple za rangi ya gold zikiwa zimebuniwa kwa ubunifu wa hali ya juu sana na kama ujuavyo zimekuwa kama zimeweka mapindo kwa mbele na kwa kusema ukweli boot kama hizo ukivalia pia jeans flani hivi ukachomekea hiyo jinsi kwa ndani nadhani mpambano utakuwa mkali sana warembo
No comments:
Post a Comment