Nadhani hakuna mtu atakayekataa kwamba hakuna jamii iliyoko dunia ambayo ikijua au ikipata nafasi ya kujieleza inatisha katika kila nyanja kama jamii ya kiafrika...wazungu walibana sana na kuaapia kwamba hakuna mtu mweusi atakuja kufikia nafasi yoyote ya juu kama ni mwaafrika..ila wamebana na sasa hawana cha kujitetea maanake maji yamewafika ya shingo na kukubali ukweli kwamba waafrika ni noma kama siku hiyo hapo pichani ambayo wacheza sinema maarufu weusi duniani Halle Berry na Denzel Washington walipofunja ukimya kwauweza kunyakua tunzo kubwa sana duniani katika mabo ya uchezaji filamu na kufanya yale yaliyosemwa na wazungu kuwageukia kibao maanake walikimbibovu siku hiyo kwa kunyakua nafasi ya Best Actress na Best Actor kwa mkupuo mmoja..embu tazameni pamba walizovaa wakuu si mchezo...ndio maana unaambiwa mwaafrika chochote akikigusa hakuna jamii nyingine yoyote dunia wanaweza kuwafikia kuanzia pamba mpaka ufunikaji...mzee mzima derrick unasemaje ?cheki pamba walizovaa balaa.....oh msipime kabisa.
Monday, 7 May 2007
Jamani Mnakumbuka Siku Hiyo..Mablacks Tunatisha!

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Mkuu sheria hapo nimekusoma maana ukianzia kwenye out fit ya halle berry ni soo halafu ukija kwa mzeemzima denzel washington jumba alilovaa limesimama kisawasawa kabisa nakubali na nguo aliyovaa halle berry ina rangi fulani ya damu ya mzee bomba sana hii ni siku waliyochukua tuzo za oscarwalifunika kisawasawa siku hiyo
Post a Comment