Monday, 7 May 2007

Ni Kuanzia Tibaigana..Denim Style + Dot Spot Style!

Sina la kusema sana warembo hapo ila mwenye macho haambiwi tazama...embu tazama hilo gauni leye dots nyeusi na rangi ya light baby blue...kuanzia kwa kelis na gauni la denim jeans la blue na tibaigana ya gold kiunoni?wametoka simple kinoma warembo ila nawachia warembo na nyie mtafakari na muone ni jinsi gani watu wanalpuka simple na wanatoka bomba vibaya sana kama muonavyo pichani...je nyie hapo mnawaona kwa juu sasa kitendawili kinakuja wewe ungevaa kiatu gani chini kwa magauni yote mawili ya hao warembo pichani?

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Huyo aliyepiga picha na Kelis ametoka bomba sana na hiyo nguo ya dots dots aliyovaa

Anonymous said...

Derrick is right..huyo alivaa gauni ya dots ndio katoka bomba kuliko Kelis outift