



Nimeona leo niwape stock ya nguo za mishughuliko ya siku ukiwa umevaa ingawa utakuw unazunguka hapa na pale ila utakuwa uko kwenye style na pia uko confortable na simple...embu tukianzia juu kabisa ni Oval Bead Necklace,Daytrip Floral Tank,BKE Starlite 20 Jean,BC Footwear Forever Young Shoe...mpo hapo warembo?
No comments:
Post a Comment