Tuesday, 29 May 2007

Stock Hiyo!

















Leo nimeona niwadunga awamu ya pili ya uvaaji wa t-shirt na jeans kumbuka sio lazima ukiwa umevaa hivyo chini upige raba au nini ila hata ukipata sendeoz matata mambo yatakuwa mwake kinoma...embu fanya kujumlisha kuanzia juu nimekuchapa na timepiace ya maana,Puka Chip Necklace,PX Raw Edge T-Shirt,leather coffee brown belt,Lucky Brand Dusty Derby Jean,na mwisho ni sendoz simple iliyorembwa na shanga1mnasemaje wakurugenzi hapo?



2 comments:

Anonymous said...

i luv the timepiece!

decorator said...

I like men who wear simple, kama hii stock hapa, simple but expensive. good job Sheria. and thanks for the comments and "ushirikiano"