Wednesday, 9 May 2007

Mambo Ya Kiofisi Hayo...!


Mambo ya ofisi hayo warembo na naomba mtazame mlipuko mzima kwa ujumla na jinsi gani mrembo Ciara kapangilia mapigo yake na kutoka unyoa kinoma....embu anzia juu alivyovaa kibodyfit blauzi white,red tibaigana belt,tight minsketi na highhills matata sana ya black...nadhani amelipuka vyema na mtoko huo hata ukijilipua ukiwa unajidunga kwenda ofisini utatoka fresh kinoma...

3 comments:

Anonymous said...

1 out of 10...I will give her 11..she looks gorgeous...I especially like the belt and the shoes

Anonymous said...

kapendezaa kinoma..kweli kizuri hakikosi kasoro maana hicho kigimbi..mhhhhh..chimalizii

DERRICK MUSHOBOZI said...

Ciara she really luks pretty na hiyo nguo aliyoivaa kwa jinsi ilivyomkaa na alivyomechi rangi basi ndio amezidi kuwa mzuri zaidi