Wednesday, 16 May 2007

Mambo Ya Kiskotshi Material!


Ni aina ya style ambayo iko adimu sana...hiyo aina ya material na michoro ni style ya kiscotish ambayo kwa wao ndio moja ya alama za tamaduni zao za mavazi...kusema ukweli gauni hili linareflect fresh sana na kuvutia kutokana na designer mwenyewe alivyoamua kulibuni na kulichonga vizuri sana...warembo mnaonaje stock hiyo je mmependa material na design ya kitambaa hicho cha hilo gauni?

2 comments:

decorator said...

keep is up. kazi nzuri.
tembelea mapambo.blogspot

Anonymous said...

as I was a little girl I used to wear those mini skirt with the colour like this...but now with this dress...I love it