Wakuu zangu naona niwachape stock hiyo matata hapo ili muweze kujaribu mapigo kama hayopindi utapoamua kujitwika mlipuo kama huo kwenye mtoko wowote upatapo tu...embu tazama kuanzia Coffee brown velvet blazer,White longsleeve shirt with silk brown,baby blue and white strips tie,classic draft trouser,na kiatu loafers...nadhani wadau mtakubali huo mdungo kisawasawa...
Out fit hii inafaa kulipuka sio ofisini tu hata ukiwa na mtoko vile vile unaweza ukajipigilia nimependa sana tie ya strips maana rangi zake zina match na shati jeupe pamoja na suruali pamoja na loafers kwa ujumla out fit yote iko tight sana
1 comment:

Post a Comment