Monday, 21 May 2007

Sean John!

Hayo ndio mambo ya Sean John ambayo ni kampuni inayomilikiwa na P.diddy...na hayo mambo yanayofanywa chini ya ubunifu wa hali ya juu na nadhani ukitadhimini hata material ya hiyo suti kuanzia suti yenyewe mpaka shati ndani na tai vyote vinaendana vibaya...

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Suti imetulia na material yake si mchezo hasa ukivaa wakati wa usiku inakuwa inapendeza zaidi na kukufanya uonekane nadhifu kulingana na jinsi itakavyokuwa imekaa kwenye mwili wako maana hapo inaonekana na body fit suit inafaa sana hasa kwenye wale ambao miili yao ni slim....