Mambo Ya Oldies Yamerudi!
Yale mambo ya uvaaji wa oldies au aina ya mavazi yenye style na mtindo wa kizamani yamerudi tena kwenye game na kupata shavu la maana kama uonavyo pichani mzee mzima Bobby Valentino,Lloyd na Jazze pha walivyolipuka mbovu..embu mtazame koti la draft draft alilovaa b.valentino lenye rangi za blue,white,green na red kwa mbali,lloyd nae alivyokula pama black na jazze pha alivyolipuka kofia white ya polo,shati la draft viboksi boksi la green na white,na sweater lisilokuwa na mikono la polo kusema ukweli hiyo oldies waliyovaa hapo ni soo nadhan mmetambua stock jinsi gani zilivyokwenda shule....
1 comment:
Wametoka bomba sana namkubali sana Jazzie Pha pamoja na unene wake lakini anaweza kunyuka pamba za kufa mtu
Post a Comment