Mambo Ya Suspendez Hayo...Uvaapo Na Unavyoonekana Classic!
Kwa wale wapenzi wa kuvaa suspendez nadhani uonapo picha hii utakuwa umesukutua kiu nzima na najua kwa wale watu wanaojua kuvaa wanakubaliana na mimi kwamba uvaaji wa mikanda hii na kama mtu unajua kujilipua fresh tu basi ujue uvaapo kila mtu anakuona ni mtu mwenye heshima zako na utashi wako kwakuwa unaonekana classic sana na pesa ndefu...embu mtazame Dimon Dash hapo pichani ulivyotoka kitu uzima na kumatch fresh namna hiyo...si mchezo na inakuwaje ukimkuta mtu kavaa hivyo na chini kakumalizia na travolta moja flat...
3 comments:
hi dude?kusema ukweli u knw wat fashion ni nini mkuu kazi yako iko tight kinoma,naona jamaa nae kajipigilia kama ile picha yako ambayo umetoka kibishi na cigar
Damon dash CEO this dude know everything about fashion he has cash and most of all he knows how to dress i like the shirt and the tie the colour goes well with the black suspendaz he's wearin.....
hii kitu inaweza kuwa ni mbwebwe lakini ikumbukwe ni aina ya mkanda ambao unatakiwa uvaliwe na wasioweza kuvaa mkanda wa kawaida kwa kuwa na vitu....kama kitambi na kadhalika.
Post a Comment