Monday, 28 May 2007

Mapigo Makali!

















Mapigo hayo ni balaa kwa wazee wazima mnaujua mapigo yalivyo tulia...embu tazama kuanzia sweater,shati na tai,mkanda wa kufumwa,kodrai jeans na moka moja matata ya brown chini italiana style....wakuu mpo hapo?



1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

I love the sweater and specially the way it is designed he colour and the drafts it really looks nice