Sunday, 13 May 2007

Masela Ndani Ya Pamba!

Mhh wazee nadhani mnaona masela kwenye hiyo picha walivyolipuka kuanzia classic style mpaka hiphop style..embu thaminisheni kuanzia mlipuko wa john legend,pharell,kanye west na common na mkumbue katika hao wote pichani ni wanatambulika sana kwenye swala la kunyuka pamba na katika top 10 za wanyuka pamba dunia wote wako kwenye hiyo list..mhh ni soo...

No comments: