Sunday, 13 May 2007

Timberland Inavyotoka Bomba Ndani Ya Jeans!

Nadhani wakuu mnaufahamu vizuri buti la Tims au Timberland lilivyo balaa ukilivaa ndani ya jeans...huo mchungwa ukitaka kuupatia ni kwa kuvalia jeans na t-shirt/shirt za maana....nadhani mfano mzuri mnauona vizuri pichani mzee Usher alivyojidunga hapo na jeans na kwa kiasi gani alitoka poa...kama umepandwa na mzuka wa kukamata hiyo stock huwa bei yake mara nyingi ni $150 kama unataka original na sio famba...nadhani wazee mmenisoma hapo.

No comments: