Thursday, 10 May 2007

Mdau Wangu Derrick Mushobozi!

Pichani katikati ndiyo mdau wangu mkubwa Derrick Mushobozi akiwa kwenye mkia flani wa jogoo pale bongo....nakuona mzee mdau wangu umezungukwa shoto na stock moja ya kipekee white na msela pembeni akiwakilisha kwa sana...safi sana mkuu nimekusoma hapo pichani..nani huyo hapo shoto yako mkuu?

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Eheeee Sheria huyo wa kushoto si unaelewa tena mkuu......hapo ni ndani ya mkia fulani wa jogoo fulani tunakandamiza kiaina

Anonymous said...

WELL!!!....Finally I see this guy who is commenting every single pic in every single Blog...anyways...He looks okey!!...1 out of 10.. will give him 8.5 ...na asante kaka sheria kwa kuweka picha yake