Wednesday, 9 May 2007

Mnaonaje Siku Wakuu Ukilipuka Hivyo?




Mnaonaje wakuu ukipata fursa ya kukamata stock kama hiyo hapo pichani kuanzia miwani hiyo,suti kama ilivyo pichani na ukamalizia na hizo travolta chini?je ukilipuka namna hiyo si itakuwa balaa ukiwa unanda kwenye bash party moja usiku?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Travolta haina mpinzani kiatu cha heshima hicho ukiingia nacho sehemu full salute