Monday, 7 May 2007

Mhhhh Mary J Anatisha Sana!

Mnaonaje kuanzia hiyo skin kodrai y brown,kivest black,belt na miwani warembo ni kavaa simple ila katoka bunduki kinoma ....ila najua akiamua kuvaa zaidi ya hapo anaweza na unajua siri kubwa ya hawa watu kuvaa namna hiyo inatokana na mawazo wanayopewa na stylist wao ndio maana...hata mastar wa bongo wakiwa kila mmoja anakuwa na stylist wake utaona mpambano utakavyokuwa mkali....stylist wanawasaidia mastar hawa kujua kipi kimetoka au kimeingia kwenye fashion industry na ipi iko hot kwenye catalogue kwa kipindi hicho....!

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mary J Blige what can i say......when u luk at her u know she's really into it

Anonymous said...

she looks fashionable nice and she looks strong!!!