Tuesday, 8 May 2007

Mnaonaje Huo Mlipuko Wadau?





Nadhani mnaona mlipuko huo wadau zangu kuanzia juu mpaka chini nikiwa nimeanza na miwani ,converse ya pink,mkanda wa red/dark blue,Fedout Jeans ya Blue,Kola T-shirt ya Pink na White mistari....nadhni mzee mzima derrick umenisoma hapo...

3 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Yaani hii inaitwa haina kwere yaani mdungo huu ni full kimbiza bovu sana lazima anikubali kwa style hii Sheria nimekusoma mkuu hapo sipatii picha mkuu wangu kitu kikishuka nafikiri Tinashe flava hii atakuwa ameipata vilivyo.....

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mixture hii ni soo kuanzia mkanda wa tommy nimeukubali jeans ya fedout hiyo t shirt na hizo strips zake converse what a shoe to have Sheria nice out fit

Unknown said...

Son nafanya oda ' nitumie form Six ya
pink polo faster...maana malumbo kajaribu wacha na mimi nicheki kama
itanitoaa