![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjhwBBTBd9fXimGv4sf_pezUHWWh2xglOQnStfgFdms9zqrm3wzB6o50VpZ3hx6O8q4jYWNFYSZ0eOoqwNEaqWcpc4rv2Bza6lYRpZCKEvD6lzEr105hQ87HTnngBrxh7j8z1ysEAoTEFTr/s400/Naughty+Monkey+Busy+Shoe1.jpg)
Mnaonaje mambo niliyowapangia warembo leo....?nadhani kila mtu atakuwa karidhika moja kwa moja na ulinganishi na uvaaji wa mavazi hayo kama yoyote atapata bahati ama ana aina ya stock hizo ila kumbuka sio lazima rangi ziwe ni hizi ila inategemeana na choice yako ya rangi mrembo...ok ngojea nianze kuwapamajna kamili na stock hizo tukianzia juu kabisa pichani ni Painted Disc Earring (hereni), Painted Disc Necklace(cheni),Daytrip Swing Jacket,Guess Eva Stretch Jean,Naughty Monkey Busy Shoe...nadhani mlipuko mzima nimsakamilisha warembo je mnaonaje mlipuko huo?
2 comments:
The JEwellery is ok and the outfit but I think the shoes are kinda too much..I mean the stuff on it r kinda too much
aaaaa mi sina ubish mwana nakukubali asilimia zoote.....haha watu mna utaniyaani mnazani hale berry wameshammimbisha.....ila sio yeye sie woote tunaovaa that style of top wanakuwa wanazani tayari mambo ya vizaigoti....
Post a Comment