Wednesday, 23 May 2007

Mambo Hayo Wakuu!













Hapo nachotaka muone ni uvaaji huo wa pamba simple kinoma na fresh hata kuzugia mtaani na club au kwenye mabash tofauti...kuanzia juu nimekupa hiyo pama ,t-shirt,buckel leather belt,kodrai jeans na adidas white na brown...mnaseaje hapo?



1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Ukiangalia rangi ya hizo nguo utakubali kuwa matching yake imesimama viatu rangi yake nyeupe inaendana vizuri sana na jeans na t shirt halafu ile kofia nayo pia ina match vizuri...........