Tuesday, 15 May 2007

Shades Zinavyotakiwa Kukukaa Na Kufit Uso!

Sio kila aina ya miwani au shades zinaweza kuvalia na kila mtu tu kwa choice zake ila miwani hii huwa inatakiwa kuvaliwa hasahasa kutoka na umbo la uso wako au shape za uso wako na sio vinginevyo....kama Mario anavyonekana ni kwa kiasi gani hiyo miwani imemkaa na kumtoa mchicha ni kutokana na kupatia frame ya miwani hiyo na jinsi gani inaendana na umbo au shape ya uso wake...kumbukeni kwa watu wenye nyuso nyembamba,nyuso ndefu,nyuso pana huwa wanatakiwa wakiwa wananunua miwani yoyote wajaribishe na kuona ni ipi imemfit vizuri usoni kwake bsi ndio ajue ndio inaendana naye na sio kuvaa mingine na kuonekana inakupwaya au kuwa mikubwa zaidi ya uso wako na kufunika mpaka pua...mmenipata nadhani wadau au nasema uongo kuhusu hilo?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

The shades luks fyn on mario's face