Wednesday, 16 May 2007

Simple Style Ya T-shirt & Jeans!





Nimeona leo niwakate kiu cha kuvaa mapigo simple sana kwa mizunguko ya hapa na pale kwa kujidunga miwani simple ya rayban yenye light blue glass inayoendana na hiyo polo kola t-shirt na simple snickers chini za adidas forest hills,pia kola t-shirt hiyo ya polo light blue,mkanda wa utambi wenye white na blue,jeans ya dark blue na chini ukimalizia nahizo simple adidas zenye rangi ya light blue na nyekundu.....nadhani mpaka hapo utakuwa mtoko mzima umekamilika...

1 comment:

Anonymous said...

holy sh**t the combination of dat simple outfit style luk tite nigga.