Wednesday, 16 May 2007

Simple Ladies Style!





Hapo sina la kusema zaidi ila kazi kwenu warembo kuchagua ni nini roho inataka kama huo mdungo pichani kuanzia oversize brown,polk dot blouse,pochi ndogo ya kushika mkononi,hot pants ya jeans nakumalizia na highhills za bronze,silver na grey....mpo hapo warembo?

3 comments:

Anonymous said...

Mhhh!!!...Kaka Sheria naona ukijaaliwa kupata mke atakuwa amebahatika kweli...maana atakuwa analipuka pamba za maana!!...Well I really like the outfit..especially the shoes and the jeans short

Anonymous said...

sijui nianzie wapi kukuambia hili neno?kusema ukweli kaka sheria sijui nikuite stylist,designer but watever na wish ungekuwa mume wangu maanake mambo yako sio ya kitoto napenda sana style za mavazi unazotuwekea huku enye blog yak,keep it up.kisses

DERRICK MUSHOBOZI said...

ANONYMOUS 17 MAY 2007 14:58 be patient one day u'll reach there utafika tu its the matter of the choice,how do you choose your outfit always remember u dont need to be rich ndio hadi uvae hivyo its just the passion.