![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihvD9vgF_YZoldvmeduiIa5RRlHgmEedS9rnR9_0VBLjAMG0vqkiL9UeEUfJ5rEP_oY7n6zZvnLHSD8oQYGFSvIO1gA7T9XeEtXuR_GGTFJJetWhv6DQgbwGF8IZoBxb_fN6r7-Ll6V-n_/s400/shoes_iaec1020663.jpg)
Naona mkamate huo mlipuko waze wazima muone ni kiasi gani milipuko kama hii bdo pale bongo kuingia nayo hasahasa kwenye ofisi za serekali ni shughuli kwa madai kwamba ni mavazi ya kihuni labda uwe unmejiajiri mwenyewe ama umefanikiwa kupata kazi kwenye NGO flani hapo itakuwa sawa...pichani kuanzia juu ni blazer la black kodrai,shati lenye mistari ya rangi mbalimbali,flat buckle belt,jeans ya blue na chini nimeamua kuwawekea moka yenye flat sole kidogo ambayo ni ya chata ya CK ambayo kirefu chake hiii brand mnaijua wakurugenzi wangu.....mnasemaje mdungo huo vipi pale bongo mzee mzima ally tambwa?mnaruhusiwa kujidunga nayo job?
4 comments:
hIYO OUT FIT IMETULIA NAJUA OFFICIALS WA SERIKALI HUWA WANABANA SANA LAKINI KWA YULE ANAYEJUA FASHION AKIONA UMEKULA MDUNGO HUO LAZIMA AKUPE BIG UP SANA MIMI NIMEZIMIA SANA KIATU SHATI NA JEANS PAMOJA NA MKANDA
Sheria, unasema hii blog pia inahusu ubunifu, mbona sijaona kitu hata kimoja ulichobuni? au sijaelewa jamani nifahamisheni. Naona vitu vyote ni vya majuu. Tena most of them ni name brands kubwa kubwa madesigner wakubwa wakubwa, vitu ambavyo wabongo wengi hawawezi kuvigusa. Au labda watu wawe wanaangalia kisha waende wanakokujua kutafuta vya bei chee vinavyofanana na hivyo.
Anyway, unajitahidi kuweka mambo kwenye blog yako. Mimi napenda mwanaume akivaa jeans na blazer/koti kama ulivyoweka hapo. Ila mimi napenda zaidi mwanaume akivaa shati la rangi moja ndani ya koti, colours like purple or blue. Hata rangi mchanganyiko kama hilo shati ulivyoweka inapendeza, ila kama unavyojua, kila mtu ana taste yake ya vivazi.
thx kwa swali lake mrembo sophia...zumuni kubwa la blog hii linahusu mambo yote yanayohusu ubunifu wa mavazi mbalimbali yaliyobuniwa na wabunifu mbalimbali duniani,pili ninajitahidi kuonyesha ni aina gani na wakati gani aina flani ya mavazi imetoka na iko hot sokoni na ni jinsi gani ya kumatch endapo utafanikiwa kuipata ,tatu si lazima uvae majina hayo ya majina makubwa ila kumbuka kuna watu wanaweza kununua aina hiyo hiyo ya brand kubwa na unakuta sio bei kubwa kama watu wengi wanavyozani kama bongo watu wanaweza kununua nguo zisizokuwa za majina makubwa kwa bei yoyote ile mpaka 500,000tshs. na kuendelea na sometime si original basi navyowajuwa wabongo hawajapata fursa tu ya kupata maduka ya brand hizo pale nyumbani ila embu tazama wabongo walioko mtoni wanavyolipuka brand kubwa wabongo tunajulikana sana kwa kupenda kuvaa na kujilipua pamba kali...nadhani nimekujibu fresh sophia ila nakushukuru kwa swali lako...karibu sana na nashukuru kuwa mdau wa blog yangu..karibu sana
Babu Sheria hizo CKs zinanikumbusha slip-ons za TARYN ROSE, sijui kama umeshawahi kuzisikia hizo?
Post a Comment