


Nimeona niwadunge stock hiyo ya mavazi simple ambayo mtu ukifanikiwa kuyapata ukajpigilia simple utatoka nyoko sana embu tazma kuanzia juu miwani ya RayBan sunglasses,kola t-shirt red polo,belt ya brown, pensi la army khaki green na simple snicker ya adidas gazelle ya red na green....nadhani ukifanikiwa kupata huo mdungo utatoka balaa wadau zangu....kazi kwenu!
1 comment:
Hii mixture imetulia sana sheria weka basi ile mixture ya full linen white halafu unamalizia kukandamiza na lofers chini i hope umenisoma mkuu.....
Post a Comment