Simple...Funky...Nightout!
Embu tazameni warembo wote wawili walivyovaa nguo simple na kutoka fresh sana...mnajua kuvaa na kupendeza sio lazima uvae nguo za gharama sana ila choice yako ya mavazi ndio kila kitu hata kama utavaa mavazi ya bei nafuu ila watu watakukubali tu...kama mrembo Monica pichani kavaakivest white ndani na kijikoti simple black,skin jeans ya d/blue,na pochi yake simple white ya mkononi na nywele zake kaweka bobby cut ya maana na blonde colour safi kbs...na hivyo kwa mrembo mwenzake shoto...mnasemaje usimple huo sophia?
2 comments:
They really luk great especially monica great smile and they both luk god on their out fits including the colour
I like Monica's outfit...and the hair style is quite good
Post a Comment