Tuesday, 15 May 2007

Skin Jeans Huwa Zinapatikana Kwa Rangi Tofauti!

Jeans za aina ya skin jeans huwa zinapatikana katika rangi za aina tofauti tofauti kuanzia nyekundu,blue light/dark,red,grey n.k na hii inaonyesha ni jinsi gani aina ya jinsi hizi zilivyotengenezwa kukidhi kiu ya warembo kwa kuibua stock na rangi wanazozipenda kwa choice zao wenyewe....kwa maelezo zaidi embu kodelea stock hizo pichani juu zilivyo katika rangi tofauti....

No comments: