Zinajulikana sana pale bongo kama Kondom jeans na kwa wazungu zinajulikana kama skin jeans...sababu kubwa ya aina hii ya jeans kupewa majina yote hayo ni kutokana na jinsi gani mrembo avaapo huendana na kushikana na jinsi mwili wake ulivyo na kusema ukweli kukukaa kinoma kama uonavyo pichani ni jinsi gani unatakiwa ujilipua upatapo aina hii ya style ya jeans...ila kumbuka inapendeza sana hata ukivalia highhills yoyote iiliyokwenda shule ama flat shoes yoyote na ukimalizia na pochi moja kubwa pembeni na mazagazaga ya kumwaga shingoni na kumalizia na shades za maana..basi baada ya hapo mnyambuliko wote utakuwa umekamilika bila shida mpo hapo mabinti....kondom jeans hiyo......
Saturday, 5 May 2007
Skin Jeans Ni Noma!

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
I like the colour of the jeans...na nafikiri inakaa kwa shape yoyote ili mradi upate saizi yako...
The jeans really looks perfect on her nafikiri siku zote inakuwa nzuri zaidi ikiwa utavaa kitu ambacho kinaendana na mwili wako utaonekana bomba zaidi
Post a Comment