Monday, 7 May 2007

Sleeveless Mashati Ni Noma!

Nilitaka tu wadau zangu mjue kwamba swala la uvaaji wa mashati yaliyo hayana mikono ni bonge moja la style kwa kipindi kama cha miaka miwili na nusu sasa lakini kumbuka watu waliyo na miili mwembamba ndio inawapendeza sana kama uonavyo pichani na sio watu wanene...mnasemaje mlipuko huo?

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Duh style hii hata nashindwa kuipa jina ni style gani lakini imeniacha mdomo wazi......

Anonymous said...

hahaha! huo mkanda kiunoni a big NO. ila style bomba, kwa wembamba lakiniw enye mambo fula ni mikononi, sio wembamba na mikono kama ya warembo (I mean without muscles)!!! Style kali hasa kwa full jeans...

M.Ushauri