Wednesday, 2 May 2007

Snipe Brand Hiyo!

Wakurugenzi nimeona niwadunge na hiyo stock ya kwenda kula nayo mkia wa samaki...hiyo ni Brand ya Snipe na kwa kusema ukweli inatisha sana kwa kudesign aina tofauti za viatu kuanzia moka,driving shoe/lafers nk.Embu wakuu mniambie ukila na jeans na shati jepesi juu umechomolea...halfu ukawa unapiga round mtaani weekend?

3 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Hii stock nikiipata lazima kwenye mkia fulani wa jogoo nikimbize ile kinoma especially weekends ukiwa kwenye mtoko lazima watu wakupe tano na wakubali huo mdungo ulivyosimama mzee umepiga na jeans yako kavu noma

shamim a.k.a Zeze said...

mh!! sheria kwa mara ya kwanza umenigusa hii kitu inapatikana wapi hii nimzawadie shemejio!!!......style hii za viatu ndo mnaviitaje ....loffan au sijainyaka fresh?!!!....nitafutie stock inakopatikana na bei...na inavaliwa nyakati zipi kiosi au week end flani?

Anonymous said...

babu, zinaitwa loffers hizo. unaweza kuagiza online, we ingizana google na kupiga search ya men's shoes.