
Ni swali tu nataka kupata mawazo kutoka kwenu kwakuwa mimi nimekuwa na utata sana kuamua ni nani kati ya warembo hawa wawili ananyuka pamba kali na anyukapo pamba zake huwa zinampendeza na kuzidi kuonekana sexy zaidi...nilitaka kujua hilo tu kutokana na nyie wadau zangu mnavyowaoa warembo hawa wakiwa katika milipuko mbalimbali popote wanapokwenda kukamua mabash au awards?naomba maoni yenu tu
4 comments:
Rihanna!!!!!!!!!She's just better than Ciara in Singin, wearin clothes and she even look better than cicy....so I prefer Rihanna...in capital...RIHANNA
Eheee Sheria i think CIARA has everythin i mean she do whatever she does she can dance and when it comes around dressing she's perfect if someone has seen the two videos LIKE A BOY and PROMISE you'll all agree with me
rihanna is straight hotter than ciara, no doubt. she's from the carribean, what do you expect? ciara kinda doesn't know how to dress gud so the title goes to RIHANNA!
Kha! weweee, Rihanna ni moto kumlinganisha na Ciara. Mimi naona hawafai hata kulinganishwa. Rihanna is too fine. Halafu kimavazi mbona Ciara huwa anachemshaga mara nyingi tu, Rihanna always looks hot!
Post a Comment