Siku zote wabunifu wa maswala ya mavazi wanafanya kazi kubwa sana kufikiria ni njia gania na namna gani watengeneze stock za maana kwa mitindo tofauti na kuteka soko la amavazi...kama pichani unaona ni jinsi gani magauni hayo walijidunga watoto hao yalivyobuniwa kwa ustadi mkubwa na kusema ukweli kuwaonyesha warembo hao wana mvuto wa maajabu sana...embu tazama kuanzia hilo la mrembo wa shoto rangi zake na matching ya hiyo pochi simple cha mkononi na mrembo wa upande wa kulia jinsi gani hiyo rangi inavyoonekana adimu na mtindo na style ya hicho kiua kilivyoweka..du kusema ukweli si mchezo ubunifu huo....je mmependa ubunifu upi kati ya hao warembo wawili na kwanini warembo?
Tuesday, 15 May 2007
Ubunifu!

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
halafu wote wana majina ya kiswahili, wa kushoto ni Taraji, na wa kulia ni Sanaa.
Post a Comment