
Uvaaji wa namna hii unamajina ya kila aina kuanzia kuulamba,kuvaa kipapa n.k...embu tazma nimeamua kukufanyia mmechisho wa maana kuanzia juu nimekudunga kwanza Cream Dial Watch,British Style Formal Shirt Draft With Silk Purpel Tie,Trouser na kumalizia na huo mkwaju wa ngozi hapo chini......
No comments:
Post a Comment