Tuesday, 26 June 2007

Brown & Cream!






Sina la kusema hapo warembo ila niwaachie muda mtafakari wenyewe stock imekaaje kuanzia juu mpaka chini..nimewachapa kuanzia Tan chevron bowling bag,Yellow printed shirt dress, resize na wedge hiyo............

No comments: