R.I.P Amina!
Ni mheshimiwa Amina chifupa Mpakanjia ametutoka duniani hatupo nae ,kwa mujibu wa habari kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari Amina amefariki saa tatu usiku katika hospital ya Lugalo.Kwa mujibu habari kutoka katika familia zimeeleza kwamba msiba utakuwepo,nyumbani kwa Baba yake, Mzee Chifupa, Mikocheni jijiniBaada ya kuagwa mwili wa marehemu utasafirishwa kuelekea Dodoma ambako ataagwa na wabunge wenzake na kisha atasafirishwa kuelekea Njombe Iringa ambako atazikwa.
R.I.P
1 comment:
Rest In Peace Amina...
Post a Comment