Tuesday, 26 June 2007

Beyonce Ft Jay-Z-Upgrade U...



Hayo ndio mambo ya Beyonce & Jay z katika video ya Upgrade u ambayo kusema ukweli Beyonce amelipuka pamba si za kitoto pamoja na mzee mzima Jigga alimalizia msumari wa mwisho kwa kujinyuka pamba nyepesi si mchezo..............embu wadau zangu msukutue vinywa kwa stock hiyo na pamba zilizovunjwa humo ndani...enjoy..

No comments: