



Mambo simple hayo warembo ya kukandamizia nayo unapopata out flani hivi kama club n.k lakini sio kwenye occassion kubwa kama harusi n.k......basi hpo sijawanyunyuzia mambo mengi zaidi ya Sole Bride Shoe,Freshwear Striped Knee Short,Hurley Connection Thermal na hiyo Fawn mock croc tote..mnasemaje warembo hapo?
1 comment:
The shoes r really cute..i like everythin of them except the..i dunno...is it a sweater of sumthin??..ok..let's say..the top...it's candy1
Post a Comment