Wednesday, 11 July 2007

Mambo Ya Kobadhi!






Hayo ni mapigo simple sana kwa watu wanaopeda kulipuka simple...sina la kusema zaidi ila nimekuwekea kuanzia hiyo leather sendoz,Lenny Linen Trousers,Red Polo T-shirt na hiyo miwani ya Owen+Red+Aviators

No comments: