Thursday 26 July 2007

Mambo Ya Daytrip Double Knit Top!








Hayo ndio mambo ya Daytrip Double Knit Top yanavyovutia yakiwa yamepigiliwa kisawasawa...kama hapo pichani nimeona nikufanyie mixing hiyo ila ukiwa unafanya hiyo mixing sio lazima uvalie na hiyo kofia kwahiyo hiyo ni option yako mdau wng ila kwa mimi ndio naona kwa mtazamo wng kumatch namna hiyo..hapo pichani nimekupa kuanzia chini ni Rocket Dog Tik Tak Shoe,Hannah Stretch Crop,Daytrip Double Knit Top (front & back view) na kumalizia na hiyo Pin Dot Cabbie Hat..nadhani mdau wangu Candy1,fo2,josephine na anna mmenisoma vilivyo...haha aha ah kamateni stock hiyo.....

2 comments:

Faith S Hilary said...

if i had 2 wear that outfit..i wuld leave out the cap/hat...it's cool and kinda like "rock style"...its candy1

DERRICK MUSHOBOZI said...

The outfit is really nice beautiful and classic i would lyk to see when a lady has putted it on.