Tuesday, 10 July 2007

New Style!

Huyo ndio mdau wangu namba moja Sophia.....mimi sina la kusema sana ila nimemkubali sana kwa style na mlipuko aliojinyuka hapo pichani kwa kifupi katoka fresh sana....nadhani kwa warembo wengi kwasasa ugonjwa wao mkubwa ni mapochi hayo makubwa na kwa kweli yanawatoa safi sana...mrembo sophia nimekukubali mtoko wako kuanzia hiyo top,tight jeans hiyo,pochi pamoja na hicho kiatuu cha ncha kali si mchezo......kusema ukweli mnyuko huo umetulia sana .

2 comments:

Anonymous said...

I like what the tshirt says, the bag the rest especially the wig and the jamaican looking earrings is no no...I've known sophy for soo long and I know she is also a natural beauty who doesn't need to do too much but keep representing...

Anonymous said...

upo juuuuuu darling nakuaminia ...............