Tuesday, 24 July 2007

Pink & White Double Ulimi!



Wadau zangu hayo ndio mambo ya Converse Double Ulimi yanavyokuwa pindi yanapopata mtu wa kukandamizia kiukweli...kama hapo utaona nimeona nikukandamizie na hiyo Guess Edward Boot Jean,Shimmer Belt na hiyo white crew neck t shirts....mdau wangu Derrick upo hapo?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mkuu hapo acha utani kabisa hiyo belt ya pink pamoja na snickers si mchezo kitu kimesimama sana hasa wakati huko kwenye mkia wa jogoo wa kawaida safi sana maana unakuwa umetoka simple halafu bomba