Huyo ndio ndio mrembo Ray C kama anavyojulikana na washabiki wake wengi...mrembo huyu ambaye ni mmoja wa mwanamziki mahiri sana pale bongo na kusema kweli akitoa song yoyote lazima ikbalike sana..basi kwa kumalizia tu huyu mrembo anajitahidi sana kuvaa nguo nzuri na pia anajua sana kumatch na kwa kifupi yuko funky kinoma kama mumuonavyo hapo pichani juu wadau mnaonaje hayo mapigo?
2 comments:
I luv it..i dunoo wot other ppl r gonna say ila ka match vizuri sana.na kavaa nguo ya heshima kidogo...i give her A*...it's candy1
Over here she looks good that's because she was dressed by Kiki's fashion but her own style, I never feel that whole tumbo nje it's so 90s and they are loooong gone!!
Post a Comment