





Kusema ukweli tukiongelea viongozi wa kiafrika wanaovaa vizuri ni mara chache sana kukuta kuanzia President mwenyewe na 1st Lady wote wanavaa vizuri na kupendeza waendapo popote ...basi kwa kusema ukweli Rais Kikwete na First lady wetu Bi.Salma wanavaa vizur sana sana na ukitaka kujua hilo anzia kuanzia suti rais wetu anazovaa na zinavyomkaa fresh na kusema ukweli ana choice nzuri sana ya suti zake na kama ana stylist wake basi hongera zimemwendee na yeye pia na tukija kwa First Lady wetu yeye pia ni balaa na kwakuvaa mavazi mazuri na yanayo represent Uafrika wake kwa ujumla na kumtoa fresh sana...kusema ukweli kwa hilo sina la ziada ila embu wadau zangu mtakao zioa hizo picha nilizo wanyunyuzia mjionee wenyewe....au mnasemaje wadau zangu?
1 comment:
I luv the last pic of the 1st lady..i mean wot she'S wearin...na Kikwete na suit zake..i m just speechless...it's candy1
Post a Comment