Tuesday 24 July 2007

Sophia!
Huyo ndio mdau wangu Sophia akiwa kajilipua na pamba kali na katoka bomba sana...nadhani warembo mtaona huo mtindo wa nywele ulivyomtoa,top hiyo ya Apple Bottom,Kikaptula cha Jeans,Kipochi na viatu hivyo vya kamba vya pink ambavyo vimeendana na kitop na rangi ya nywele....kwa kifupi Sophia umekandamiza vibaya sana na nakuaminia kwa milipuko simple ya pamba..mnasemaje wadau zangu mapigo hayo yalivyomtoa.....

4 comments:

Anonymous said...

mtoto ametoka bomba sana sheria aminia uwe unatupa vitu kama hivi

Faith S Hilary said...

I like her style..it's kinda funky..and cool...i like it..keep it up..Sophia..it's candy1

Anonymous said...

hey girl looking cute...not feeling the glossy lips and the hairstyle or might be the colour but other than that, keep doing your thing

DERRICK MUSHOBOZI said...

Very good looking.