Wednesday 8 August 2007

Classic.Pt 2!







Hayo ndio mapigo safi ya classic kwa upande wetu sisi wanaume...hao utaona nimekudondoshea nondo muhimu kabisa kuanzia mwanzo mpaka mwisho...tazama nimekudunga stock hiyo kuanzia na hicho indigo python print shoes,Gap Jeans,black polished leather belt,Pink Slim Fit Solid Colour Shirt,Maroon Velvet Blazer......upo mushobozi hapo?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mkuu nimekusoma loud and clear has tukianzia kwenye koti la pink rangi yake imesimama hakuna ubishi pili ukienda kwenye jeans pia naikubali halafu chini na hicho kiatu unamalixzia kwa kukandamiza ile fresh kabisa the whole outfit luks classic