Wednesday 8 August 2007

Kamanda Wangu Malumbo Upo?

Huyo ndio malumbo mzee wa cardiff akiwa kwenye pozi nene pichani huku kajikwatua n pamba simple na kutoka mwake kinoma..safi sana mkuu wangu unawakilisha vizuri...upo mbona kimya?

No comments: