Wednesday 22 August 2007

Hurley Bermy Plaid Short





Hayo ndio mambo ya Hurley Bermy Plaid Short kama yanavyojulikana vizri kwenye ulimwengu wa mavazi...tukianzia juu utaona nimekudunga kuanzia Fossil Dress Watch,Grey acrylic cardigan,Brown Sound Winner T-Shirt,Hurley Bermy Plaid Short na white driving shoes hizo...nadhani wadau zangu mmenisoma vizur sana hiyo kaptula ilivyokuwa juu kwenye fashion now....

No comments: