Wednesday 22 August 2007

Oakley Quilted Boot







Haya haya warembo hayo pichani chini ndio mambo ya Oakley Quilted Boot...nadhani kwa warembo mlioko huko mtoni au sehemu zenye kuvaa mavazi kuendana na season husika..basi hivi viatu vinavalia sana wakati winter season ingawa watu maarufu huko kiwanja wanavaa hata nje ya season husika....basi si vibaya kushare na nyie warembo stock hiyo inapendeza sana sana ukivalia na Tight

No comments: