Tuesday 21 August 2007

Mambo Ya Sheria Na Mavazi! Pt.2









Haya wadau nimewadunga Mambo Ya Sheria Na Mavazi Pt 2 ya Harusi Ya Mr & Mrs Lucas Shemu na mambo yalivyojiri ukumbuni na ni jinsi gani maharusi hao wawili walilipuka nguo tofauti kwa nyakati tofauti na kwa kusema ukweli walipendeza sana...mtaona pichani wakiwa na wasimamizi wao,wazazi Mr & Mrs kwenye picha zote mbili,maharusi wakiwasalimia wageni waalikwa,Mr & Mrs wakiwa katika pozi la furaha sana,Flower Girl wao na usisahau pia walitumbuzwa kwa burudani kabambe wakati wa makulaji...mkuu lucas hongera sana na mama hapo....kwa order ya unazotaka niandikie :sheria.ngowi@gmail.com...karibuni sana!

3 comments:

Anonymous said...

Great design work, beautiful results, a worthy showpiece of intent and creativity, Sheria continue pushing the boundaries there's no stopping you now!

Simon Kitururu said...

Kazi poa Mkuu!

DERRICK MUSHOBOZI said...

All i can say sheria great work and we all appreciate what you have done so far plus count me on your list .