Thursday 2 August 2007

Ngoma Zetu,yafunika!

Wimbo 'Ngoma Zetu' wa mwanadada Lady Jay Dee akiwa amewashirikisha Nako2Nako Soldiers umeonekana kuwakosha vilivyo wapenzi wa muziki nchini.Wimbo huo ambao umo ndani ya albam ya mwanadada huyo ya 'Shukrani'..uliwarusha wapenzi wengi wa muziki alipouimba kwa mara ya kwanza hadharani Jumamosi iliyopita kwenye tamasha la One Mic kuazimisha miaka 5 ya EATV ..kwenye viwanja vya Leaders.Katika kuonyesha kuwa songi hilo limewakuna kisawasawa...watazamaji waliushangilia kinoma wimbo huo kuliko hata ule wa 'Siku Hazigandi' unaotamba hivi sasa.

No comments: